Ni Neno Toka kwa Bwana Lyrics

NI NENO TOKA KWA BWANA

 1. { Ni neno toka kwa Bwana linakuja,
  Ni neno toka kwa Bwana linakuja } *2

  Lisikie neno, neno lake Bwana
  Ni neno toka kwa Bwana linakuja

 2. Injili toka kwa Bwana inakuja . . .
 3. Ushindi toka Bwana unakuja . . .
 4. Baraka toka kwa Bwana zinakuja . . .
 5. Hekima toka kwa Bwana inakuja . . .
Ni Neno Toka kwa Bwana
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
 • Comments