Ni Wakati wa Amani

Ni Wakati wa Amani
Performed by-
CategorySign of Peace/Kutakiana Amani
Views4,984

Ni Wakati wa Amani Lyrics

  1. Ni wakati wa amani -Yesu atupenda
    Amani yake Bwana -Yesu atupenda
    Ye ye ye ye ye ye - Yesu atupenda
    Wo wo wo wo wo -Yesu atupenda
  2. Ni wakati wa upendo . . .
  3. Ni wakati wa baraka . . .
  4. Ni wakati wa fadhili . . .
  5. Ni wakati wa neema . . .