Nimekuchagua Wewe Lyrics

NIMEKUCHAGUA WEWE

Nimekuchagua wewe, nimekuchagua wewe
Kati ya wanawake wote, Ili wewe uwe msaidizi wangu

  1. Nimekupenda wewe,
    Kati ya wanawake duniani
  2. Wewe ni jicho langu,
    Wewe ni mboni langu la maisha
  3. Baraka za Mungu ziwe,
    Pamoja nanyi daima siku zote
Nimekuchagua Wewe
CATEGORYHarusi
  • Comments