Nimezitambua Hila za Shetani Lyrics

NIMEZITAMBUA HILA ZA SHETANI

@ J. C. Shomaly

Nimezichambua hila zake shetani na kanuni zake
Enyi wapenzi sikilizeni haya kwa makini
Sheria pia taratibu zake zote na maagizo yake
Enyi wapenzi sikilizeni haya kwa makini

 1. Uwongo na kiburi - sheria za Shetani hizo
  Uzinzi na ulevi - kanuni za shetani hizo
  Wivu na majivuno - sheria za Shetani hizo

  Hizo! Ndugu yangu jihadhari sana
  Hii ni hatari, tupige magoti tusali sana.
  Yasije yakatukumba

 2. Ulaji wa rushwa -
  Uvivu na uchawi -
  Utovu wa nidhamu -
 3. Nguo zenye kubana -
  Na zile fupi fupi -
  Mavazi ya kihuni -
 4. Kuiba kudhulumu -
  Kusengenya wengine -
  Udokozi umbeya -
 5. Kudharau wenzako -
  Matusi na karaha -
  Hirizi na tunguri -
Nimezitambua Hila za Shetani
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Cecilia Zimmerman
ALBUMNimezitambua Hila (Vol 5)
CATEGORYTafakari
 • Comments