Nimtume Nani Lyrics

NIMTUME NANI

Nimtume nani, nimtume nani, nitume mimi
Nami nitakwenda shambani mwako
Nikavune yote yaliyo bora, unitume Bwana

  1. Mmejitoa kwa Bwana Mungu, mkaifanye kazi ya Bwana, Enendeni mkaifanye
  2. Mavuno yote sasa tayari, mkayavune yaliyo bora,
    Enendeni shambani mwake
  3. Viumbe wote mwahubirie, na mwisho wote wafike kwangu,
    Wakaishi milele yote
Nimtume Nani
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
  • Comments