Ninataka Maji ya Kunywa Lyrics

NINATAKA MAJI YA KUNYWA

 1. Ninataka maji ya kunywa
  Ninataka, ninataka maji ya kunywa, ya Kristu
  Kisima chetu cha uzima ni Bwana Yesu *2

  Kiu kiu kiu kiu—
  (Kisima chetu cha uzima ni Bwana Yesu *2)

 2. Yesu yuko karibu kuja
  Yesu yuko, Yesu yuko karibu kuja, kwa wakristu
  Kisima chetu cha uzima ni Bwana Yesu *2
 3. Nimeona malaika pale
  Nimeona, nimeona malaika pale, wakisema
  Kisima chetu cha uzima ni Bwana Yesu *2
 4. Enyi ndugu na dada zangu
  Enyi ndugu, enyi ndugu na dada zangu, wakristu
  Kisima chetu cha uzima ni Bwana Yesu *2
Ninataka Maji ya Kunywa
CHOIR
CATEGORYGeneral
 • Comments