Nitajongea Altare Lyrics

NITAJONGEA ALTARE

@ F. A. Nyundo

 1. Nitajongea altare yako, ee Bwana
  Nitajongea altare yako, ee Bwana

  Bwana nipokee nakuja
  { Ninakuja kwako, ee Bwana, kukupokea ee Bwana
  Kwani wewe ndiwe uzima } *2

 2. Chakula chenye uzima, ee Bwana . . .
  Huwashibisha wanyofu, wa moyo . . .
 3. Kinywaji chenye uzima, ee Bwana . . .
  Huwaponya wenye dhambi, ee Bwana . . .
 4. Naja sasa kwako Bwana, nipokee . . .
  Nipe neema zako Bwana, nipone . . .
 5. Moyo wangu meokoka, ee Bwana . . .
  Kukupokea ee Bwana, leo hii . . .
 6. Vile ulivyomsamehe, Magdalina . . .
  Nami naja kwako Bwana, nisamehe . . .
 7. Njoo Bwana njoo, njoo kwangu . . .
  Usikawie njoo Bwana, niponye . . .
Nitajongea Altare
COMPOSERF. A. Nyundo
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments