Nitajongea Meza
| Nitajongea Meza | |
|---|---|
| Performed by | - |
| Category | Ekaristia (Eucharist) |
| Views | 6,921 |
Nitajongea Meza Lyrics
Nitajongea Meza yako Bwana (Yesu)
Yesu Mwana wa Mungu unishibishe- Wewe ni mkate wa uwinguni, unishibishe
- Wewe ni maji ya uzima, niburudishe
- Wewe ni mzabibu nami ni tawi nistawishe
- Wewe msamaha kwa watu wote, nihurumie
- Wewe msaada wa uwingu, uniongoze
- Wewe ni njia ya uwingu, uniongoze
- Nazo furaha za uwingu, ukanijaze
- Niishi nawe ee Yesu, mwema milele