Nitakwenda Mimi Mwenyewe Lyrics

NITAKWENDA MIMI MWENYEWE

@ I. Nyanga

Nitakwenda mimi mwenyewe, nikatoe sadaka kwa Bwana
{ Aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi, aliyeniumba mimi
Mungu wangu, Mungu wangu, Mungu wangu
Kwa kuniumba hadi nikapendeza } *2

  1. Kaniumba kwa mfano wake, kuliko viumbe vingine
    Na sasa nikatoe shukrani
  2. Vyote nilivyo navyo ni vyake nimrudishie kwa mapendo,
    na sasa nikatoe shukrani
  3. Mema mengi amenijalia ya mbinguni na duniani
    Na sasa nikatoe shukrani
Nitakwenda Mimi Mwenyewe
COMPOSERI. Nyanga
CHOIRSt. Cecilia Mwenge Dsm
CATEGORYOffertory/Sadaka
  • Comments