Nitatangaza Neno Lyrics

NITATANGAZA NENO

 • Nitatangaza neno lake Bwana
  Kwa mataifa mbalimbali oo
 • Na Uganda - waimbe na kumsifu Bwana
  Na Wakenya - waimbe na kumsifu Bwana
 • Nitatangaza neno lake Bwana
  Kwa makabila mbali mbali oo
  Na wakamba
  Na Waluhya ...
 • Nitatangaza Neno lake Bwana
  Katika miji mbalimbali oo
  Nairobi ...
  Na Mombasa
Nitatangaza Neno
CHOIR
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
 • Comments