Njoo Tule Mana

Njoo Tule Mana
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views2,601

Njoo Tule Mana Lyrics

  1. [s] Njoo tule mana- Mana ya Kristu mana
    [s] Njoo tule mana,
    [t] Aa mana ya Kristu *2

  2. Kila tulapo mwili wake Yesu na kunywa damu yake
    Twatangaza kifo chake mpaka atakaporejea
  3. Mkate kutoka nganoni ya nchi, hugeuzwa mwili wake
    Kwenye ibada ya misa tuule ili tupate wokovu
  4. Divai iliyo ya mizabibu, hugeuzwa damu yake
    Kwenye ibada ya misa tuinywe ili tupate wokovu
  5. Njooni tule mana yake Yesu , iliyotoka Mbinguni
    Ni chakula cha roho, tuile tumeshiba daima