Njooni kwangu nyinyi nyote msumbukao
na kulemewa na mizigo (njooni kwangu) -
Njooni kwangu (njoni kwangu) nami nitawapumzisha
- Jitieni nira yangu mkajifunze kwangu,
Kwani mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo
- Nanyi mtapata raha tele nafsini mwenu
Kwani nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi
|
Pia umerekodiwa na kwaya nyinginezo Tanzania
|
|