Njooni Nyote Njooni Nyote

Njooni Nyote Njooni Nyote
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Views4,056

Njooni Nyote Njooni Nyote Lyrics

  1. [t] Njooni nyote *2 tuingie nyumbani
    [b] Nyumbani Mwa Bwana
    [w]Nyumbani mwa Bwana
    Bwana Mungu wa majeshi

  2. Tuingie kwa furaha na shangwe
    Tumwabudu Bwana muumba wetu
  3. Sisi ndio watu wake Bwana
    Tumwimbie Bwana Mumba wetu
  4. Twakuita kwa vigelegele na vinanda pia baragumu
    Sifu jina lake kuu tuliabudu na kulitukuza