Nyumba Yangu

Nyumba Yangu
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Views3,998

Nyumba Yangu Lyrics

  1. Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,
    Aleluya, Nyumba ya sala

  2. Ewe Yerusalemu, umsifu mwenyezi Mungu
    Umsifu Mungu wako ewe Zayuni
  3. Anawaponnya waliovunjika moyo
    Anawatibu majeraha yao
  4. Yeye hupendezwa na watu wamchao
    Watu wanaotegemea fadhili zake
  5. Ameimarisha milango yako
    Amewabariki watu waliomo kwako
  6. Ameweka amani mipakani mwako
  7. Humjulisha Yakobo ujumbe wake
    Na Israeli maongozi na maagizo yake.