Salamu Ee Msalaba

Salamu Ee Msalaba
Performed by-
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
Views4,018

Salamu Ee Msalaba Lyrics

  1. Salamu, salamu, salamu, ee msalaba

  2. Salamu ee msalaba nakuabudu leo
    Ulalo wake Yesu kitanda cha uchungu
  3. Salamu ee msalaba, alama ya wokovu
    Shetani ukamshinda tufike uwinguni
  4. Salamu ee msalaba, lo Yesu atupenda
    Juu yako akalazwa kwa nia ya kuteswa
  5. Salamu, ee msalaba juu yako Mungu Mwana
    Awalipia watu, amwaga damu yake
  6. Salamu, ee msalaba, utupatie moyo
    Tuende njia njema, tufike uwinguni
  7. Salamu, ee msalaba, msalaba tupagae
    Tupande kilimani, mbinguni tutapona