Sauti ya Yohana Lyrics

SAUTI YA YOHANA

 1. Sauti ya Yohana yasikika nyikani
  Tengenezeni njia Bwana apite

  Apite (Bwana apite) *2
  Tengenezeni njia Bwana apite

 2. Malaika kahubiri, kahubiria Mariamu -
  Tengenezeni njia Bwana apite
 3. Na wewe kijana rekebisha mwenendo -
  Tengenezeni njia Bwana apite
 4. Acheni fitina chuki na hasira -
  Tengenezeni njia Bwana apite
 5. Bwana alituachia hili neno takatifu,
  Tulitangaze kote ulimwenguni
Sauti ya Yohana
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
 • Comments