Shamba la Mizabibu

Shamba la Mizabibu
Performed bySt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryZaburi
Views9,079

Shamba la Mizabibu Lyrics

  1. Shamba la mizabibu (mizabibu)
    Shamba la mizabibu la Bwana ndilo nyumba
    (Ya Israeli) ndilo nyumba ya Israeli *2

  2. Ulileta mzabibu, mzabibu kutoka Misri
    Ukafukuza mataifa ukaupanda
  3. Uliyaeneza matawi, matawi yake baharini
    Vichipukizi vyake hata kunapo mto
  4. Kwa nini umezibomoa, umebomoa kuta zake
    Nguwe msituni wanauharibu
  5. Wauchuma wapitao, wale wapitao njiani
    Hayawani wa porini wanautafuna