Shamba la mizabibu *2 la Bwana
Ndilo nyumba ya Israeli *2
- Ulileta mzabibu, (mzabibu kutoka Misri)*2
Ukafukuza mataifa *2, ukaupanda
- Kwa nini umezibomoa, (umebomoa kuta zake)*2
Na hayawani wa kondeni wautafuna
- Ee Mungu wa majeshi, twakusihi urudi Baba
Ujilie mzabibu huu, na mche uliopanda
kwa mkono wako
|
|
|