Siku za Mwisho Lyrics

SIKU ZA MWISHO

@ J. C. Shomaly

Katika siku zile za mwisho asema Bwana (asema)
Nitawamiminia, wote roho wangu roho wangu *2
[s] Watoto wenu, watoto wenu,
watoto wenu, waume kwao wake
[a] Watoto wenu, waume kwao wake,
watoto wenu, waume kwao wake
[t] Waume kwa wake
[b] Watoto wenu, waume kwao wake
waume kwa wake
[w] Watautangaza ujumbe wangu

 1. Vijana wenu wataona maono
  na wazee wenu wataota ndoto
 2. Nitawamiminia roho wangu
  wazee wa wale wanastahili
 3. Naye yeyote atakayeomba
  kwa jina la Baba ataokolewa

  ( St. Pauls UON Students ChoirJ. C. Shomally)
Siku za Mwisho
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMshike Mshike (Vol 5)
CATEGORYRoho Mtakatifu (Pentecoste)
 • Comments