Simama Imara Lyrics

SIMAMA IMARA

Simama, simama imara, jilinde
Lilinde, neno lako Bwana imara
Kesha kila siku uombe, uombe, utasimama

 1. Milima yote na mabonde itayeyuka
  Neno lake Bwana imara, imara -litasimama
 2. Mapendo ya Mungu, tumejaa roho ya kweli
  Imara yetu ndani yake, ndaniye, awe muhuri
 3. Siku za huduma ni chache, tuwe mashujaa
  Roho wa Yesu akaa nasi, kaa nasi mpaka hatima
 4. Katika yote tutashinda, kwa nguvu yake
  Nani aweza kututenga, kutenga, na pendo lake
 5. Heri ashikaye maneno, ya Mungu Mwana
  Naam naja upesi Amina, amina njoo Yesu Bwana
Simama Imara
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
 • Comments