Tazama Mimi

Tazama Mimi
Performed by-
CategoryZaburi
ComposerF. Kashumba
VideoWatch on YouTube
Views8,953

Tazama Mimi Lyrics

  1. { Tazama mimi - nipo pamoja nanyi
    Nipo pamoja - nanyi siku zote (siku zote) } *2
    Siku zote mpaka ukamilifu wa dahari *2

  2. Enyi watu wote pigeni, pigeni makofi
    Pigieni Mungu kelele kelele za shangwe
  3. Kwani Bwana aliye juu, mwenye kuogofya
    Yeye ni mfalme mkuu wa dunia yote
  4. Enyi watu wote imbeni, imbeni zaburi
    Maana Mungu anamiliki mataifa yote
  5. Mwimbieni Mungu imbeni, pigeni zumari
    Mpigieni pia na zeze na vinanda vyenu
Unaweza imbwa katika sikukuu ya Kupaa kwa Bwana