Tazama Tazama Lyrics

TAZAMA TAZAMA

{ Tazama tazama ni vyema na vizuri
Ndugu kuishi pamoja kwa umoja } *2

 1. Mapendo ya Kristu yametuunganisha,
  Ndugu kuishi pamoja kwa umoja
 2. Tuwe na furaha tunapokusanyika,
  Kwa moyo mnyofu tusameheane kweli,
 3. Na tuangalie tusitengane kamwe,
  Tuache ugomvi tujenge mapatano
 4. Kati yetu sisi akae Yesu Kristu,
  Yeye ni kiungo cha wanadamu wote,
 5. Awaunganishe waliotengana nasi,
  Tuwe kundi moja mchungaji ndiye mmoja.
 6. Tunapokusanyika kwa pamoja
  Tuangalie tusitengane tena
 7. Kristu Bwana Mungu tunakuomba leo
  Tumiminie neema ya kupendana
 8. Kanisa letu na yale ya wenzetu
  Tuungane pamoja tunakuomba
Tazama Tazama
CATEGORYTafakari
 • Comments