Toeni Sadaka

Toeni Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views10,856

Toeni Sadaka Lyrics

  1. Toeni sadaka toeni sadaka
    Toeni sadaka kwa upendo wa Mungu toa

  2. Ulicho nacho - kwa upendo wa Mungu toa
  3. Kiini cha ngano - kwa upendo wa Mungu toa
  4. Na nyumba yako - kwa upendo wa Mungu toa