Tuingie Nyumbani Mwa Bwana Lyrics

TUINGIE NYUMBANI MWA BWANA

{ Tuingie nyumbani mwa Bwana,
Kwa furaha na shangwe tele }*2

 1. Bwana Yesu atualika –
  kwa furaha na shangwe tele
  Twende kwake siku ya leo –
 2. Vijana wote mwakaribishwa –
  Vigelegele na tuvipige –
 3. Waimbaji wote mwakaribishwa –
  Mcheze ngoma pia kwayamba –
 4. Wazee wote mwakaribishwa –
  Muimbe nyimbo za kumsifu –
 5. Watawa wote mwakaribishwa –
  Walei wote mwakribishwa –
Tuingie Nyumbani Mwa Bwana
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments