Tuliona Nyota Lyrics

TULIONA NYOTA

  • Tuliona nyota ikitoka Mashariki
    [s/t: Nasi] tumekuja kumsujudia Bwana
  • Nao waliofikiwa na habari hii walifurahia na kusema
  • Mamajuzi walikwenda kumwona mkombozi
    walifurahia na kusema
Tuliona Nyota
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
  • Comments