Tulitangaze Neno Lyrics

TULITANGAZE NENO

 1. Tumeitwa na Yesu - tulitangaze Neno *2
  Wazee pia na wamama - tulitangaze Neno * 2

  Tulitangaze neno lake, kwa mataifa mbalimbali
  Tulitangaze neno lake, ulimwenguni kote

 2. Ni neno la bariki-
  Ni neno pia lafariji
 3. Vijana na watoto -
  Wadogo pia na wakubwa
 4. Ni neno linakuja-
  Ni neno pia laokoa-
 5. Ni neno lake Bwana -
  Ni neno ambalo linaponya -
Tulitangaze Neno
ALT TITLETumeitwa na Yesu
CHOIROur Lady of Fatima Kongowea
ALBUMUninyunyizie Maji (vol. 2)
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
 • Comments