Tumepewa Mtoto Lyrics

TUMEPEWA MTOTO

[s:] Tumepewa Mtoto
[w:] Tumepewa mtoto mwanaume *2
Na uwezo wa kifalme utakuwa begani mwake *2
[s:] Naye ataitwa jina lake
[w:] Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu
Baba wa milele, Mfalme wa amani *2

 1. Maombezi na enzi yake na amani
  Hayatakuwa na mwisho kamwe
 2. Katika kiti cha enzi cha Daudi
  Na ufalme wake milele
 3. Kuthibitisha na kutegemeza
  Kwa hukumu na haki
 4. Tangu sasa na hata milele wingu
  wa Bwana wa Majeshi, ndio utakaotenda hayo
Tumepewa Mtoto
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments