Tumwimbie Mungu uu u, Aleluya
Tumwimbie Mungu hosanna aa a
Tumwimbie Mungu hosanna aa a
- Tunakuheshimu tunakusifu
Tumwimbie Mungu hosanna
Tunakuabudu twakutukuza
Tumwimbie Mungu hosanna
- Tunakushukuru mfalme wa Mbingu -
Mwana wa pekee mwana wa Baba -
- Unayeondoa makosa yetu -
Utuhurumie tusikilize -
- Kuume kwa Baba unapoketi -
Kuume kwa Baba unapoketi -
- Roho Mtakatifu pamoja nawe -
Ndani yake Bwana unatukuzwa -
|
|
|