Tupeleke Zawadi

Tupeleke Zawadi
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views7,385

Tupeleke Zawadi Lyrics

  1. Tupeleke zawadi, tupeleke kwa Bwana
    Tupeleke vipaji, tupeleke kwa Bwana
    Yote ni mali yako, tumrudishie Baba
    Kwa wema na upendo,
    tupeleke kwa Bwana

  2. Mkate na divai-twende tupeleke
    Na pia mali zetu-
    Nayo mazao yetu-
    Ndizo sadaka zetu-
  3. Tupeleke kwa Bwana-
    Nayo mazao yetu-
    Na pia nia zetu-
    Hata matendo yetu-
  4. Haya ndugu twendeni -
    Tupeleke kwa Bwana-
    Tushike mikononi-
    Zawadi na vipaji-
  5. Na shukurani zetu-
    Pia na shida zetu-
    Na pia sala zetu-
    Hata na furaha zetu-