Twaeni Mle Wote Lyrics

TWAENI MLE WOTE

Twaeni mle wote huu ndio mwili wangu
Twaeni mnywe wote hii ndiyo damu yangu
Fanyeni hivi, kwa kunikumbuka mimi *4

  1. Yesu alitoa mkate, akashukuru, akaumega
    Akawapa wafuasi wake akisema
  2. Huu ndio mwili wangu, twaeni mle wote
    Akawapa, fanyeni hivi kwa kunikumbuka mimi
  3. Hii ndiyo damu yangu, twaeni mnywe wote
    Akawapa, hiki ni kikombe cha damu yangu
Twaeni Mle Wote
CHOIR
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
  • Comments