Twaja Mbele Zako

Twaja Mbele Zako
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views6,226

Twaja Mbele Zako Lyrics

  1. Twaja mbele zako
    Ee Bwana na sadaka zetu twaleta
    Tunakutolea, twakuomba upokee

  2. Tunakutolea sadaka yetu
    Ee Bwana twakuomba upokee
  3. Kwa moyo safi twakutolea
    Twakuomba upokee ee Bwana
  4. Mkate na divai twakupa
    Twakupa kwa moyo wa mapendo
  5. Mazao yetu uyapokee
    Pokea ni jasho letu Bwana
  6. Na nyoyo zetu pia twatoa
    Twaomba utujaze neema