Twakutolea Sadaka

Twakutolea Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,384

Twakutolea Sadaka Lyrics

  1. Twakutolea sadaka-
    twakutolea Baba pokea *2

    A a aiya twakusihi sana uibariki Baba
    Iwe safi sana iwe kama ile ya Abeli *2

  2. Twakutolea mazao -
  3. Twakutolea na fedha-
  4. Twakutolea mkate-
  5. Twakutolea divai-