Twendeni kwa Karamu Lyrics

TWENDENI KWA KARAMU

 1. Twendeni kwa karamu ya Bwana tumeitwa
  Twendeni twende kumpokea
  Ni mwaliko wa Bwana-
  Tukale mkate wa uzima
 2. Tujitakase mbele ya kwenda kwa karamu hii-
  Twende watakatifu-
 3. Karibu kwangu Yesu ukae kwangu daima-
  Nifunze njia yako-
 4. Na kwa uwezo wako imani yangu naikiri-
  We—u Mungu Mwokozi-
 5. Usituache basi pamoja nasi ukae-
  Kwa kuwa kumekucha-
 6. Na tufurahi mwisho pamwe na Baba milele-
  Kwa umoja na Roho-
Twendeni kwa Karamu
CHOIR
CATEGORYEkaristia (Eucharist)
 • Comments