Twendeni Mezani Mwake

Twendeni Mezani Mwake
Performed by-
CategoryEkaristia (Eucharist)
Views5,766

Twendeni Mezani Mwake Lyrics

  1. Twende wote mezani mwake
    Tukale mwili na kuinywa damu
    Ametualika Bwana Yesu kwa karamu

  2. Yesu mwili na damu, chakula safi
    Kishibishacho roho zetu
    Twendeni sote tukampokee ametualika
  3. Mimi ndicho chakula cha kushibisha
    Kilichoshuka kwake Baba
    Anayenila ataishi vema siku zote
  4. Alaye chakula kwa kustahili
    Hukaa ndani yangu mimi
    Nami ndani yake siku zote asema Bwana