Upokee Sadaka Yetu Lyrics

UPOKEE SADAKA YETU

 1. Upokee sadaka yetu, twakutolea Baba
  Upokee navyo vipaji, twakutolea Baba

  Pokea Baba zawadi *2 twakutolea Baba

 2. Upokee mkate wetu -
  Upokee divai yetu
 3. Upokee mazao yetu-
  Upokee na fedha zetu -
 4. Nasi pia ni mali yako -
  Tunatubu makosa yetu -
 5. Upokee mioyo yetu -
  Upokee na nafsi zetu -
 6. Haya yote ni mali yako-
  Uyapokee kwa huruma -
 7. Uviunge vipaji vyetu -
  Na sadaka yake mwanao -
 8. Usifiwe ewe mtukufu -
  Kwa sadaka yake na yetu -
 9. Utuhurumie wakosefu -
  Tuletee baraka yako -
Upokee Sadaka Yetu
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments