Utujie Masiya Wetu Lyrics

UTUJIE MASIYA WETU

@ (traditional)

Utujie Masiya wetu

  1. Wakungojao hawatafadhaika-
    Utujie Masiya wetu
  2. Unayeketi juu ya kerubini-
  3. Amsha uwezo wako uje-
  4. Dondokeni enyi mbinguni toka juu-
  5. Na mawingu yamshushe mwenye haki
  6. Nchi na ifunike na kumzaa Mkombozi

Utujie Masiya Wetu
COMPOSER(traditional)
CATEGORYMajilio (Advent)
  • Comments