Sheria Yako Lyrics

SHERIA YAKO

@ Jerome Kagoma

Sheria yako naipenda mno ajabu *2
Sheria yako aee naipenda aeee
Sheria yako naipenda naipenda
mno ajabu, mno ajabu, ajabu

 1. Bwana ndiye aliye fungu langu he! he! he! *2
  Nimesema nitayatii maneno maneno yako *2
 2. Nakuomba fadhili zako ziwe he! he! he! *2
  Ziwe faraja kwangu sawa sawa na ahadi yako *2
 3. Nimeyapenda maagizo yako he! he! he! * 2
  Kuliko dhahabu naam dhahabu iliyo safi * 2
 4. Shuhuda zako ni za ajabu he! he! he! *2
  Ndiyo maana roho roho yangu imezishika * 2
Sheria Yako
COMPOSERJerome Kagoma
CHOIRKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
ALBUMKidole Juu (Vol 23)
CATEGORYZaburi
REFPs. 119
SOURCESt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
 • Comments