Mbona Mwafurahi Lyrics

MBONA MWAFURAHI

@ Ochieng' Odongo

 1. Mbona mwafurahi, (leo) sisi tuna amani (kweli)
  Mbona mwafurahi, (leo) sisi tuna upendo (kweli)

  { Yesu ni mwalimu (kweli), tena ni dereva (wetu)
  Akiwa usukani sisi tuko salama } *2

 2. M-nakwenda wapi, (kule) nyumbani mwake Bwana
  Leo kuna nini, (ili) tutoe shukrani (zetu)
 3. Njooni watu wote, (leo) tukamwimbie Mungu
  Njooni tusujudu, (humu) hekaluni- mwake
 4. Mwili wake Bwana, (ni) chakula cha roho (zetu)
  Damu yake Bwana, (ni) kinywaji cha- kweli (kweli)
 5. Tufanyeni shangwe, viumbe wake Mungu (Baba)
  Kwa vigelegele, (pia) kwa kupiga makofi (sana)
Mbona Mwafurahi
COMPOSEROchieng' Odongo
CHOIRSt. Benedict Rapogi
ALBUMVol 3
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments