Njooni Nyote Tuingie Lyrics

NJOONI NYOTE TUINGIE

 1. Njooni nyote tuingie, nyumbani mwake Bwana
  Njooni nyote tuingie, nyumbani mwake Bwana

  Tuingie nyumbani, nyumbani mwa Bwana
  Kwa shangwe na nderemo, makofi tupige
  { Tumwabudu Mungu kwa furaha tumsifu
  Tumwimbie nyimbo nzuri, yeye ndiye muumba wetu } *2

 2. Kina mama tuingie . . .
  Kina babu tuingie . . .
 3. Na vijana tuingie . . .
  Na watoto tuingie . . .
 4. Ni mahali pa- sala . . .
  Tutoe shukrani . . .
 5. Tutapata msamaha . . .
  Tutapata ba-raka . . .
Njooni Nyote Tuingie
CHOIROur Lady of Fatima Kongowea
ALBUMKila Mwenye Pumzi (vol 4)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments