Tena Lyrics

TENA

@ Bernard Mukasa

|s| {Haya haya haya tena haya tumerudi
tena kukuimbia kukusifu kwa nyimbo
tena watu kuwainua tena wakutukuze wewe }* 2
|b| haya haya haya tena haya tumerudi
tena twaja kukuimbia kukusifu kwa nyimbo tena
tena wakutukuze wewe tena
|a| haya haya tena haya tena haya tena kukuimbia
Kukusifu kwa nyimbo tena tena tena
wakutukuze wewe tena
|t| haya haya tena haya tumerudi
tena twaja kukuimbiaTena tena
watu kuwainua tena wewe tena wewe tena } 2

 1. Teremka uzisikilize nyimbo tulizokutungia
  Karama ulizotujalia
 2. Njoo Bwana uzisikie sauti tamu ulizoumba
  Wanao tunakurudishia
 3. Tega sikio usikie midundo tunayokupigia
  Yote hii wewe utukuzwe
 4. Tupa jicho ujionee miondoko tunayokanyaga
  Mifupa uliyotujengea


  {Ni wewe tena uhimidiwe ni wewe tena!
  Ni wewe tena ushangiliwe tena }*2
Tena
COMPOSERBernard Mukasa
CHOIRMbeya
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments