Twende Sote Nyumbani Lyrics

TWENDE SOTE NYUMBANI

Twende sote nyumbani, twende sote nyumbani
Kwake Mungu muumba wetu
Twende tukamwabudu kwani anatupenda

 1. Kina Baba na mama twende tukamwabudu
  Tukapate baraka twende tukamwabudu
 2. Wazee kwa vijana …
  Dada wote na kaka …
 3. Shangwe na vigelegele . . .
  Na kwa unyenyekevu . . .
 4. Tutubu dhambi zetu . . .
  Tumuombe neema . . .
 5. Mungu anawastahili sana . . .
  Hakuna kama yeye . . .
Twende Sote Nyumbani
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments