Silaha Yangu Msalaba

Silaha Yangu Msalaba
Performed bySt. Don Bosco Mirerani
AlbumIkulu ya Mbinguni
CategoryFaith
ComposerFr. A. Msigwa
Views17,738

Silaha Yangu Msalaba Lyrics

  1. { Silaha yangu msalaba (msalaba msalaba) *2
    Silaha yangu msalaba katika mateso yote } *2

    { Naubeba kijasiri nasonga mbele mbele (mbele mbele)
    Naubeba kijasiri nasonga mbele mbele } *2

  2. { Silaha yangu msalaba (msalaba msalaba) *2
    Silaha yangu msalaba katika furaha yote } *2
  3. { Silaha yangu msalaba (msalaba msalaba) *2
    Silaha yangu msalaba katika wito wangu } *2
  4. { Silaha yangu msalaba (msalaba msalaba) *2
    Silaha yangu msalaba katika kazi zote } *2