Sikilizeni Mataifa Lyrics

SIKILIZENI MATAIFA

Sikilizeni sikilizeni mataifa *2
{Nawatuma ninyi kati ya mbwa mwitu
Kuweni wapole kama njiwa }*2

  1. Nami nitawapa ninyi Roho wa hekima
    Awaongoze katika njia zote
  2. Mtawakanyaga nyoka pia nge
    Lakini kwa jina langu hamtashi-ndwa
  3. Sheria zangu ni kuu kwao watu wote
    Aniaminiye mimi ataoko-ka
Sikilizeni Mataifa
CHOIR
CATEGORYInjili na Miito (Gospel)
  • Comments