Furahi ee Yerusalemu, furahi na tena
{Mshangilieni nyinyi nyote mmpendao
Nyinyi mliao kwa ajili yake } * 2
- Mpate kushiba na kunyonya, kushibishwa maziwa
Na maziwa ya faraja faraja zake Kristu.
- Furahieni fadhili zake, fadhili zake Mumba wetu
Kwa ajili ya faraja faraja zake Kristu
|
|
|