Mungu ni Mwema Lyrics

MUNGU NI MWEMA

@ Fr. Mkoba

{Mungu ni mwema, ni mwema kwangu
Mungu ni mwema, ni mwema kwangu
Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
Mungu ni mwema ni mwema Kwangu } *2

 1. Ameniumba kwa sura yake,
  Kanileta hapa duniani
  Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
  Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
 2. Ananilinda mchana usiku
  Na siku zote yuko na mimi
  Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
  Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
 3. Ametmtuma mwanaye Yesu
  Kuja unikomboa dhambini
  Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
  Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
 4. Ametesa vikali sana
  Hata akafa msalabani
  Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
  Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
 5. Japo kweli mimi ni mdhambi
  Bali yeye anipenda mimi
  Mungu ni mwema, Mungu ni mwema
  Mungu ni mwema ni mwema Kwangu
Mungu ni Mwema
COMPOSERFr. Mkoba
CHOIRKwaya ya Moyo Safi wa Bikira Maria, Unga Limited Arusha
ALBUMTufurahi
CATEGORYTafakari
 • Comments