Raha ya Mbinguni Lyrics

RAHA YA MBINGUNI

@ A. Manota

Ngoja nikusimulie ndugu yangu raha ya Mbinguni
(kwa kweli)
Mbinguni kuna raha, ni hakika kuna raha } * 2
{Ni raha (ni raha) mbinguni ni raha ni raha tu
Mbinguni ni raha,
ni raha (Mbinguni) ni raha ni raha tu
Mbinguni ni raha
Ni raha ni raha ni raha (kweli) mbinguni ni raha}

 1. Huko watu hawafi kamwe - ni raha tu
  Huko hakuna ma-gonjwa
  Huko hawaijui huzuni
  Mbingu ni raha ndugu
 2. Malaika huimba huko
  Wateule husifu huko
  Watakatifu husujudia
  Mbinguni ni raha ndugu
 3. Kila nyumba ni kwake Mungu
  Ndiyo yerusalem mpya
  Huko yuko mama maria
  Mbinguni ni raha ndugu
 4. Tukitubu tutaingia
  Tutamwona mwokozi Yesu
  Tutasifu milele yote
  Mbinguni ni raha ndugu
Raha ya Mbinguni
COMPOSERA. Manota
CHOIRSt. Cecilia Mirerani
ALBUMMaajabu ya Mungu
CATEGORYTafakari
 • Comments