Teremka Bwana Teremka Lyrics

TEREMKA BWANA TEREMKA

@ Gabriel C. Mkude

{ Teremka Bwana teremka,
Teremka toka mawinguni, teremka
Toka mawinguni mpaka duniani } *2
Na tazama wanao wanavyokuimbia *2
Wafurahi kwa ajili ya utukufu wako

  1. Shuka toka mbinguni, tazama makanisani
    Watu wote wanakusifu na kusema
  2. Shuka toka mbinguni, tazama na misituni
    Ndege wote wanakusifu na kusema
  3. Shuka toka mbinguni, tazama huko porini
    Wanyama wote wakusifu na kusema
Teremka Bwana Teremka
COMPOSERGabriel C. Mkude
CHOIRSt. Vincenti Palloti Makiungu Singida Tz
ALBUMWema Mkamilifu
CATEGORYMajilio (Advent)
MUSIC KEYA Major
TIME SIGNATURE2
4
NOTES Open PDF


Recorded by
* St. Vincenti Palloti Makiungu Shinyanga (Wema Mkamilifu album)
* St. Veronica Kariakoo (Walinizunguka Kama Nyuki album)
* St. Cecilia Zimmerman Nairobi (Silegei album)
. . among others
  • Comments