Wewe Ndiwe Kuhani Lyrics

WEWE NDIWE KUHANI

@ J. C. Shomaly

Wewe ndiwe kuhani milele hata milele * 2
Umetakaswa kuhani, uko na kundi kuhani
Chunga, chunga Kondoo *2 Chunga kondooo

  1. Msalaba unaubeba kuhani mkuu, chunga kondoo
  2. Sisi sote kama kondoo tuombe, atupe bara-ka
  3. Taifa lake Mungu Baba lataka neno, chunga kondoo
Wewe Ndiwe Kuhani
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
CATEGORYZaburi
REFPs. 110; Heb. 7
  • Comments