Enyi Wanadamu

Enyi Wanadamu
Performed by-
CategoryTafakari
ComposerJ. C. Shomaly
Views3,436

Enyi Wanadamu Lyrics

  1. Enyi wanadamu msisumbukie maisha yenu
    Kwani yale yote mnayoyasumbukia Mungu anayajua
    { Msijiulize ulize kwamba mtaishi vipi
    Bali utafuteni kwanza ufalme (wa Mungu)
    Nayo mahitaji yenu mnayohangaikia
    kila siku Mungu atawapa } *2

  2. Msifikiri sana, juu ya maisha yenu
    Bali mtumikieni Mungu,
    Kwa kusali na kutenda mema,
    Kwa kuwa Mungu ndiye mtoaji wa vyote
  3. Jueni Mungu ndiye, kinga ya maisha yenu
    Sasa mtumikieni Mungu,
    Kwa kusali na kutenda mema,
    Kwa kuwa Mungu ndiye mtoaji wa vyote