Hiki Ndicho Kizazi

Hiki Ndicho Kizazi
Performed bySt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumUshuhuda Tosha
CategoryZaburi
ComposerJ. C. Shomaly
Views3,390

Hiki Ndicho Kizazi Lyrics

  1. Hiki ndicho kizazi cha wakutafutao ee Mungu wetu *2
    { Cha wakutafutao uso wako ee Mungu wa Yakobo
    Hiki ndicho, hiki ndicho kizazi cha wakutafutao Mungu } *2

  2. Ee Bwana ulinijua tangu tumbo-ni
    Wewe unayajua maneno ya-ngu
  3. Mchana na usiku umekuwa kinga
    Ee Mungu Mungu wangu nitakusifu
  4. Nitakusifu mimi siku zote ee Mungu
    Unibariki Bwana daima milele